Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameadhimisha miaka 30 madarakani Jumanne kwa kuwapa ahadi wakulima ya kuwatafutia soko la bidhaa zao katika nchi za kimataifa pamoja na kuunda kiwanda cha mbolea.
Your browser doesn’t support HTML5
Sikuu kuu ya NRM.
Museveni anayetafuta mhula mwingine wa miaka mitano zaidi, ameahidi kuhakikisha Uganda inaingia kwenye orodha ya nchi tajiri duniani katika kipidi cha miaka 16 ijayo huku akiwaonya wapinzani wake wa kisiasa dhidi ya siasa za fujo na uchochezi..