Matukio katika picha

Kasisi akibariki masanduku ya maiati ya wasicfhana wawili ambao ni ndugu Marion na Anna Petard, huko Blois,  France waliouwawa katika mashambulizi ya kigaidi Paris  Nov. 13, 2015.

Mwimbaji Celine Dionakiimba katika kuwakumbuka waathiriwa wa mashambulizi ya Paris.

Mwendesha baiskeli akiendesha baiskeli yake katika theruji huko kaskazini mwa Spain.

Polisi wenye utaalamu wa kutegua mabomu wakiajiandaa kufanya kazi hiyo mjini Tokyo.

Wanajeshi wa majini wa Korea kusini wakiwa Seoul

Mvuvi akirusha nyavu yake kuvua samaki huko  Batticaloa, Sri Lanka.

uwanja wa World Trade Center na majengo yanayozunguuka huko Manhattan , New York City, Nov. 22, 2015.

Watu wakiwa wamebeba sanduku lenye mwili wa chansela wa zamani wa ujerumani Helmut Schmidt, baada ya ibada ya kumbukumbu kwenye kanisa la St. Michael's (Sankt Michaelis) Hamburg.

Gari moshi likiwa linasafiri kwenye milima iliyofunikwa na theruji Beijing, China.

Eneo la kumbukumbu la Jefferson Memorial likionekana wakati wa mwanga wa jua Washington, D.C., Nov. 22, 2015.

Mauricio Macri, mgombea urais wa ushirikiano wa Cambiemos akiwa na mtoto wake kwenye mabega na mkewe ,  wife Juliana Awada wakipunga mkono kwa wafuasi wao mara baada ya uchaguzi  Buenos Aires, Argentina, Nov. 22, 2015.