Nelson Mandela

Nelson Mandela pamoja na mkewe, Winnie, wakiwapungia mkono watu walojitokeza kumpokea alipoachiwa huru kutoka jela ya Victor Verster hapo Februari 11, 1990.

Picha ya isiyojulikana imepigwa lini ya Nelson Mandela na mke wake wa zamani, Winnie.

Rais wa afrika Kusini Frederik Willem de Klerk, kushoto, na naibu rais wa African National Congress Nelson Mandela, kulia, wakiwa pamoja kabla ya kuanza mazungumzo kati ya ANC na serikali ya Afrika Kusini mjini, Cape Town, May 2, 1990.

Kiongozi wa ANC na nembo ya upinzani dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela, anaonekana akitoa saluti ya black power kwa wafuasi 120,000 wa ANC katika uwanja wa kandanda wa n  Soweto karibu na  Johannesburg, Afrika Kusini, Feb. 13, 1990.

Nelson Mandela akihudhuria mkutano wa hadhara na mjuku wake 1993.

President Nelson Mandela and Britain's Prince Charles shake hands alongside members of the Spice Girls' Emma (L), and Gerri (R) at Mr. Mandela's residence November 1, 1997.

The former South African president, left, and his wife, Graca Machel, wave to the audience during a Live 8 concert in Johannesburg, South Africa, July 2, 2005.

Former South African president Nelson Mandela, center, followed by his grandson Mandla Mandela, rear right, arrives at the ceremony in Mvezo, South Africa, April 16, 2007.

Mandela poses for a photograph after receiving a torch to celebrate the African National Congress' centenary  in his home village, Qunu, in rural eastern South Africa, May 30, 2012.

School children read the history of former South African president Nelson Mandela written on a chalkboard, ahead of the opening of a container library by the Bill Clinton Foundation in celebration of Mandela Day, at a school in Qunu, July 17, 2012.

Children sing happy birthday in honor of former South African president Nelson Mandela during celebrations for Mandela's birthday in Mvezo, South Africa, July 18, 2012.