Maandamano dhidi ya mauaji yanayofanywa na polisi marekani yanaendelea - Dec. 9, 2014

Waandamanaji wamefunga njia ya kituo cha treni ya Amtrack wakati mamia wakiandamana kupinga uamuzi wa  baraza la mahakama kutowafungulia mashtaka maofisa polisi wazungu waliosababisha vifo kwa wanaume weusi wasio na silaha huko Berkeley, Calif., Jumatatu, Dec. 8, 2014.

Ofisa polisi akielekeza bunduki yake kwa waandamanaji wakati wa maandamano dhidi ya uamuzi wa baraza la mahakama huko New York City wa kutomfungulia mashtaka polisi aliyesababisha kifo cha Eric Garner huko Berkeley, California, Dec. 8, 2014.

Police with wooden sticks stand guard after they cleared a group of protesters out who had stopped traffic in downtown Seattle during a demonstration against the decisions not to indict police officers who who killed men in Ferguson, Missouri and New York

University of California Berkeley school of law graduated Alyson Reimer holds up a sign as she protests in response to police killings in Missouri and New York as Berkeley Police officers block a street in front of the police station in Berkeley, Calif.,

Mchezaji mashuhuri wa Cleveland Cavaliers LeBron James akijitayarisha kabla ya mchuwano wa mp[ira wa vikapu wa NBA basketball dhidi ya timu ya  Brooklyn Nets katika uwanja wa Barclays Center New York, akiva T-sjhirt yenye maandishi "siwezi kupumua", maneno ya mwisho ya mtu aliyeuliwa na polisi New York. Dec. 8, 2014.

Police try to block protesters at the entrance to the Atlantic Terminal Mall following protests at the nearby Barclays Center, in the Brooklyn Borough of New York, Dec. 8, 2014.

Aliyah Favela, 9, asimama nji ya kituo cha polisi cha Phoenix, Arizona, Dec. 8, 2014.