Myanmar: Aung San Su Yi ahukumiwa kifungo cha miaka 7 jela

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya kijeshi nchini Myanmar imemkuta na makosa ya ufisadi kiongozi wa zamani, Aung San Suu Kyi aliyeondolewa na jeshi madarakani na kuhukumu atumikie kifungo cha miaka saba katika mlolongo wa kesi kadhaa za jinai dhidi yake.

Ungana mwandishi wetu akikuletea maelezo kamili ya kesi hiyo na hatma ya kiongozi huyo wa kisiasa ambaye tayari anatumikia kifungo. Endelea kusikiliza...