Mwandishi wa vitabu wa Ufaransa ashinda Tuzo ya Nobel katika fasihi

Your browser doesn’t support HTML5

Mwandishi wa vitabu wa Ufaransa Annie Ernaux Jumatano ameshinda Tuzo ya Nobel katika fasihi kutokana na mchango wa vitabu vyake vilivyoangazia maisha yake na kutokuwepo na usawa.

Jopo la Nobel la Sweden limesema Ernaux ambaye anaumri wa miaka 82, ameangazia masuala ambayo yamegawanyishwa na jinsia, lugha na hadhi katika jamii. Endelea kupata maelezo juu ya mwandishi huyu..