Mwana FA asema biashara ya muziki inawakwamisha wanamuziki
Mwana FA akiwa katika studio za Sauti ya Amerika-VOA, Washington DC
Leo katika LIVE TALK tunazungumzia hadhi ya muziki wa Bongo Flava. Bongo Flava kama mnavyofahamu ni muziki wa kizazi kipya unaotamba hivi sasa huko Afrika mashariki ambapo kiini chake ni nchini Tanzania.
Your browser doesn’t support HTML5
Live Talk-Bongo Flava na Mwana Fa
Sauti ya Amerika-VOA ilizungumza na mwanamuziki wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA au Binamu. Mwana FA ametamba sana na nyimbo zake kama bado nipo nipo, kama zamani, msiache kuongea, ya lait na kadhalika.
Sikiliza nini Mwana FA anasema katika muziki wa Bongo Flava akiwa mjini Washington DC, Marekani