Waislamu wakusanyika Mecca katika siku za mwisho za Hajj

Mahujaji wakusanyika kwenye mlima Arafat katibu na mji mtakatifu wa Mecca wakiomba dua na kutekeleza ibada muhimu katika Hajj mahala Mtume Mohamed (SAW) alitoa hotuba yake ya mwisho, Oct. 14, 2013.

Mahujaji wakislamu wanaswali kwenye mlima Arafat karibu na mji mtakatifu wa Mecca, Saudi Arabia, Oct. 14, 2013.

A Muslim pilgrim touches a marker at the top of a rocky hill called the Mountain of Mercy, on the Plain of Arafat near the holy city of Mecca, Saudi Arabia, Oct. 14, 2014.

Mahujaji wakiomba dua kwenye mlango wa Al- Kabaa, jengo jeusi kati kati ya Mskiti mkuu wa mji wa Mecca ambalo waislamu wote duniani kuelekea wanaposwali, Oct. 13, 2013.

A Muslim pilgrim wears medical mask as he walks in Arafat near the holy city of Mecca, Saudi Arabia, Oct. 14, 2013.

Mahujaji wakislamu wakiswali kwenye Mskiti mkuu wa mji mtakatifu wa Mecca Mecca, Saudi Arabia, kabla ya kuanza rasmi ibada za kila mwaka za Hajj, Oct. 10, 2013.

Muslim pilgrims pray atop Mount Thor in the holy city of Mecca, Saudi Arabia, ahead of the annual Hajj pilgrimage, Oct. 11, 2013.