Museveni aondoa marufuku aliyoiweka kwa waendesha bodaboda

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameondoa marufuku ya miaka miwili aliyoiweka kwa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda kutofanya biashara usiku kutokana na janga la corona.