Waislamu walaani vitendo vya ugaidi

Jue Jue Than akipigwa picha na bango la kulaani ugaidi huko Myanmar

Watu wanaasha michuma rangi za bendera ya Ufaransa katika uwanja wa Sant Jaume mjini Barcelona, Hispania, November 16, 2015. Wakiwa na bango linaloeleza kwamba "Uislamu si Ugaidi".

Mwanamke akisimama karibu na mishuma na mauwa akitoa heshima zake kwea waathiriwa wa mashambulizi ya Paris nje ya Ubalozi wa Ufaransa mjini Teheran. November 14, 2015.

Wanaharakati wa kind mimosa la kislamu huko Calcutta India, wakibeba mabango kulaani mashambulizi ya kigaidi ya Paris, November 18, 2015.

Wanaharakati wa kind mimosa la kislamu huko Calcutta India, wakibeba mabango kulaani mashambulizi ya kigaidi ya Paris, November 18, 2015.

Waislamu wa Kosovo watoa mchango kuwasaidia wananchi wa Syria katika mskiti mkuu wa mji mkuu wa Kosoovo wa Pristina .

Waandamanaji wakislamu wakilaani kundi la Islamic State mjini Mumbai India.