Moscow: Rais Xi asisitiza China na Russia zitaendelea kulinda kanuni za msingi za UN

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati wa kukamilisha ziara yake huko Moscow, Rais wa China Xi Jinping aeleza kuwa kama wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa China na Russia zitaendelea kufanya kazi na jumuiya ya kimataifa.

- Pia amesisitiza ataendelea kulinda kanuni za msingi za uhusiano wa kimataifa kulingana na malengo na misingi ya mkataba wa UN.