Uchaguzi Mkuu Kenya 2022: Mkazi wa Nairobi aeleza sababu zilizomfanya asipige kura

Your browser doesn’t support HTML5

Mkazi wa Nairobi aeleza sababu zilizomfanya asipige kura, na hivyo akisema "ndio maana kura yangu imelala" katika uchaguzi wa rais Kenya 2022, ambapo Tume ya Uchaguzi imeeleza kuwa idadi ya waliojitokeza kupiga kura ilikuwa ya chini.