Michuano ya pili ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika yaanza Jumamosi

Your browser doesn’t support HTML5

Michuano ya pili ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika yaanza Jumamosi huko Dakar, Senegal, huku Cairo nchini Misri na Kigali, Rwanda itakuwa pia ni wenyeji wa michuano hii ya pili...