Michuano ya AFCON: Timu za Kusini mwa Afrika hali bado ni tete

Your browser doesn’t support HTML5

Katika michuano ya Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika, AFCON, Kando na Ethiopia hali bado ni tete kwa timu nyingine za Kusini mwa Afrika ambapo Malawi na Zimbabwe wanachuana leo Ijumaa.