Mgogoro wa Ukraine wachukua sura mpya ya mapigano mitaani

Your browser doesn’t support HTML5

Ukraine inakabiliwa na matatizo makubwa ya kiusalama katika baadhi ya maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.

Wakati huohuo kumekuwa na mapigano makali ya barabarani katika mitaa kwenye mji muhimu wa Severodonetssk na Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema kwamba sehemu kubwa ya jiji hilo sasa iko mikononi mwa Russia.