Mgogoro wa kidiplomasia watishia usalama katika Pembe ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la Wikiendi linaangazia mgogoro wa kidiploamsia kati ya Somalia na Ethiopia kuhusiana na mikataba na ushirikiano kati ya Ethiopia na Somaliland pamoja na jimbo la Puntland.