Mfanyabiashara Kenya aeleza mbinu za kufanya biashara mitandaoni

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamke mfanyabiashara Carol Achieng nchini Kenya aeleza jinsi anavyotumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara yake na kusema amepata mafanikio ya kibiashara. Ungana naye akikusimulia mbinu anazotumia kufikia wateja katika soko la mtandaoni.