Mazungumzo kati ya Ethiopia na Tigray yaendelea Pretoria, yahudhuriwa na timu ya upatanishi ya AU

Your browser doesn’t support HTML5

Mazungumzo ya kwanza rasmi yanayolenga kumaliza vita vya miaka miwili baina ya majeshi ya Ethiopia na majeshi kutoka mkoa wa kaskazini wa Tigray yameingia siku ya pili siku ya Jumatano huko Pretoria, Afrika Kusini.