Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani - May Day

Mtu aliyeshiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi akiruka maji yanayofyetuliwa na maafisa wa usalama wakati wa mapambano yaliyozuka kati ya polisi na waandamanaji mjini Istanbul, Uturuki, May 1, 2013.

Polisi wa kupambana na ghasia wa Uturuki wakikabiliana na waandamanaji siku ya wafanyakazi "May Day" pkati kati ya mji wa Istanbul, Uturuki, May 1, 2013.

Mtu akibeba bango la picha ya kiongozi wa zamani wa Urusi Joseph Stalin wakati wa maandamano ya  siku ya wafanyakazi Duniani mjini  St. Petersburg, Russia, May 1, 2013.

wafuasi wa mungano wa kisiasa wa Albanian wa Red and Black Alliance wakiimba na kutoa maneno ya upinzani mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu mjini Tirana.  May 1, 2013.

People carry a banner during a May Day celebration organized by the Austrian Social Democrats and trade unions, Vienna, Austria, May 1, 2013.

Lebanese leftist activists wave flags as they march during a demonstration to mark May Day along a street in Beirut, May 1, 2013.

Workers march during a May Day rally in Jakarta, Indonesia, May 1, 2013.

South Korean police officers attempt to detain a protester during a May Day rally in central Seoul, May 1, 2013.

Protesters, wearing a horse head mask and chains, take part in a May Day protest in front of the Executive Yuan building in Taipei, Taiwan, May 1, 2013.

Garment workers attend a march to mark May Day in Phnom Penh, Cambodia, May 1, 2013.