Mataifa yaomboleza kifo cha Augustine Mahiga Tanzania

Salam za rambirambi zaendelea kumiminika kutoka kwa mabalozi wa nchi za Uingereza, Canada, Ufaransa, Sweden na Uchina nchini Tanzania.