Mashindano ya Qur’an Tukufu ya 21 ya Afrika yafanyika Tanzania

Africa map

Mgeni rasmi katika Mashindano ya Quran, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi akiwasili Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam ambako Mashindano ya Kuran Tukufu ya 21 ya kuhifadhi kitabu cha Allah (Subhanahu Wataala) yamefanyika Aprili 25, 2021, .(Picha kwa hisani ya Global Publishers TV)

Mgeni rasmi katika mashindano ya Quran ya 21, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Ali Mwinyi (wapili Kulia). Pamoja naye ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (watatu kutoka kulia) na Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi (wanne autoka kulia) na Viongozi wengine wa dini waliohudhuria mashindano hayo. Picha kwa hisani ya Global Publishers TV, Tanzania.

 Mgeni rasmi katika mashindano ya Quran ya 21 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Mwinyi (wakwanza kulia), Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) na Mufti wa Tanzania, Sheikh ​Sheikh Abubakar Zubeir Ally.

Mufti of Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Kulia)  wakati wa Mashindano ya Quran Tukufu katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam, Jumapili Aprili 25, 2021. Picha kwa hisani ya Global Publishers TV, Tanzania.

Mashindano ya Quran yamefanyika mjini Dar es Salaam, Tanzania Jumapili, Aprili 25, 2021 na kushirikisha nchi 21 kutoka Bara la Afrika.