Marekani yaunga mkono maandamano ya amani China

Your browser doesn’t support HTML5

Ikulu ya Marekani yaelezea uungwaji mkono wa maandamano ya amani yaliyojitokeza kote nchini China

Marekani yajitupa uwanjani nchini Qatar kupambana na Iran katika kinyang'anyiro cha Kombe la Dunia, wakati nchi hizo mbili zikiwa kwenye mvutano wa kisiasa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari