Marekani yaiwekea Tehran vikwazo vipya baada ya Russia kutumia droni za Iran

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki Washington Bureau inaangazia hatua ya Marekani chini ya utawala wa Rais Joe Biden kuiwekea Tehran vikwazo baada ya Russia kutumia droni zilizotengenezwa Iran kushambulia Ukraine.

Ungana na waandishi wetu wakikuletea mtiririko wa yale yalioikabili Iran tangu kuanza maandamano hadi kuhusishwa na vita vya Ukraine...