Marekani: Idara ya Taifa ya Hali ya Hewa yatoa onyo la dharuba ya theluji eneo la magharibi kati

Your browser doesn’t support HTML5

Dharuba kali ya baridi inatarajiwa kuyakumba maeneo ya juu hapa nchini Marekani kabla ya sikukuu ya Krismas, wiki hii na kuchochea wasafiri kufanya mipango ya mwisho endapo baadhi ya safari za ndege zitafutwa.

Idara ya Taifa ya Hali ya Hewa ilitoa onyo la dharuba ya theluji ya eneo la magharibi kati ya Marekani. Sikiliza repoti kamili kuhusu tahadhari hiyo...