Mapigano yapamba moto DRC wakati diplomasia yapewa kisogo
Your browser doesn’t support HTML5
Mapigano huko DRC yanaendelea kupamba moto wakati diplomasia ikipewa kisogo. Rwanda mara kadhaa imekuwa kujiweka kando na tuhuma za kuhusishwa kiyafadhili wa makundi ya waasi. Je ushauri uliotolewa kwa DRC kuishtaki Rwanda utaumaliza mzozo huo?