Mapigano ya Gaza yaendelea kwa wiki ya nne mfululizo

Moshi umetanda hewani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mashambulizi ya anga ya Israel

Kifaru cha jeshi la Israel lasubiri buldoza kuondowa vifusi kuweza kuingia Gaza kama ilivyoelezwa kwenye picha hii.
 

Mwanamke akimbeba mtoto na kumfunika uso baada ya vumbi kuingia ndani ya hospitali ya Al-Quds mjini Gaza City.

Waandamanaji wanaounga mkon o Palestina wakusanyika kwenye mji mkuu wa The Hague, Uholanzi kulaani mashambulizi ya Israel Gaza.

Watu walopata hifadhi ndani ya hospitali ya Al-Quds mjini Gaza City.

Watu wapita kwenye mabango yenye picha na majina ya watu walotekwa nyara na Hamas baada ya shambulizi ya Oktoba 7, 2023.

A picture taken from Israel's southern city of Sderot shows smoke rising during Israeli bombardment of the Gaza Strip on October 29, 2023, amid ongoing battles between Israel and the Palestinian Hamas movement. (Photo by FADEL SENNA / AFP)

Wa Korea Kusini wanaoiunga mkono Palestina wakusanyika Seoul kuihimiza Israel kusitisha mashambulizi yake dhidi ya Gaza. 

Wafuasi wa chama cha kidini cha Jamiat Ulema-e-Islam-f, cha Pakistan wakishiriki kwenye mkutano wa kuiunga mkono Palestina.

Watu wakibeba mabango yenye majina ya watu walotekwa na kundi la Hamas nje ya ubalozi wa Qatar mjini London.

Wapalestina wakagua uharibifu ulofanywa kwenye nyumba yao mjini Khan Younis na jeshi la Israel.

Mapigano yameongezeka huko Gaza, huku maandamano yakifanyika katika pembe zote za dunia kuunga mkono Palestina na kutaka kuachiliwa kwa mateka.