Maonyesho ya sarakasi na muziki yafunguliwa Saudi Arabia

Your browser doesn’t support HTML5

Wanasarakasi na wanamuziki wakijumuika katika ufunguzi wa maonyesho ya Winter Wonderland mjini Riyadh Saudi Arabia wakati msimu wa baridi ukianza nchini humo.
Maandamano makubwa yalifanyika Jumanne, Octoba 22, 2019. Uwanja huo unaukubwa wa mita 200,000 za mraba na eneo lenye barafu kubwa kuliko yote Mashariki ya Kati.(AFP)