Manusura wa ubakaji walalamika dhidi ya polisi wa Botswana

Your browser doesn’t support HTML5

Manusura wa ubakaji nchini Botswana wanaeleza kuwa polisi hawashughulikii matatizo ya ubakaji kwa dhati na pia kesi hazifikishwi mahakamani..