Mama Maria Nyerere ahudhuria maombi Siku ya Nyerere Uganda

Mama Maria Nyerere na Rais Yoweri Museveni katika kanisa Katoliki- Namugongo, Uganda.

Mama Maria Nyerere na Rais Yoweri Museveni katika kanisa Katoliki- Namugongo, Uganda wakati maombi yakiendelea.

Misa ya kumuombea Hayati Mwalimu Nyerere nchini Uganda.

Baada ya misa ya kumuombea hayati Mwalimu Nyerere, Rais Museveni na Familia ya Mwalimu Nyerere, Namugongo, Uganda.

Mama Maria Nyerere wa Tanzania akihudhuria Ijumaa Juni 1, 2018, maombi maalum kwa ajili ya Mwalimu Nyerere kabla ya maadhimisho ya Siku ya Mashahidi wa Uganda, akiwa na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni.