Brexit : Makampuni 400 yahamisha biashara zake kutoka Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya New Financial unaonyesha zaidi ya makampuni 400 ya fedha nchini Uingereza yamehamisha kazi pamoja na wafanyakazi wake pamoja na mali yenye thamani ya dola Trilioni 1.4. baada ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya (Brexit).