Majeshi ya Ukraine yagundua miili na vyumba vya mateso maeneo yaliyokuwa yametekwa na Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Ukraine wagundua miili katika eneo la makaburi ya jumla karibu na Izium katika mkoa wa Kharkiv, huku Rais wa Ukraine akiongeza kuwa majeshi ya Ukraine yamegundua zaidi ya vyumba 10 vya mateso katika maeneo ambayo awali yalikuwa yanashikiliwa na majeshi ya Russia.