Majanga yanayoendelea kulikabili eneo la Sahel

Your browser doesn’t support HTML5

Mabadiliko ya hali ya hewa na uhamiaji katika eneo lilioko jangwa la Sahel ni maadui ambao hawaonekani, huku vita ikiwa ni janga sugu linalowakabili wananchi wa eneo hilo.