Mahakama ya juu nchini Kenya, inaendelea na kikao chake, ikisikiliza kesi iliyowasilishwa na muungano wa upinzani, NASA, kupinga kutangazwa kwa rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa urais.
Siku ya Jumanne, BMJ Muriithi alizungumza na wakili Charles Kanjama, ambaye ni mchambuzi wa masuala ya siasa na akaanza kwa kumuuliza kuelezea kuhusu zoezi la kukagua mifumo ya kielektroniki ya tume ya uchaguzi ya IEBC, limefikia wapi, baada ya mahakama hiyo kuamuru lifanyike.
Your browser doesn’t support HTML5
Wakili wa Kenya, Charles Kanjama, aziungumza na Sauti ya Amerika