Mahojiano na Ismail Jusa afisa muandamizi wa ACT Wazalendo

  • Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Ismail Jusa anasema ni baada ya ushauriano na kutafakari juu ya maoni ya wanachama, ndipo uwongozi wa ACT Wazalendo utamua kujiunga au la na serikali ya umoja wa kitaifa kama inavyohitajika na katiba.
Naibu mwenyekiti wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo visiwani Zanzibar Nassor Mazrui, ameachiwa huru kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi tangu siku ya pili baada ya uchaguzi mkuu hapo tarehe 28 Octoba.