Mahakama ya ICC yamkuta na makosa kiongozi wa Lord's Resistance Army

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya Uhalifu ya ICC, The Hague, Alhamisi yamkuta na hatia kiongozi wa zamani wa kundi la waasi wa Lord's Resistant Army Uganda dhidi ya uhalifu wa binadamu na vita.
Mkuu wa Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) asema kiwango cha vifo kutokana na COVID-19 bara la Afrika yazusha wasiwasi.