Mahakama Rwanda yamhukumu Rusesabagina kifungo cha miaka 25

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya Rwanda Jumatatu imemhukumu Paul Rusesabagina miaka 25 kwa kujihusisha na ugaidi.
- Kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa janga la COVID-19 viongozi wa dunia wanahudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki hii.

- Watoto chini ya umri wa miaka 12 huenda wakaruhusiwa kupatiwa chanjo.