Rais Magufuli akiwahutubia wananchi

Your browser doesn’t support HTML5

Akiwahutubia wananchi na kusikiliza shida zao wakati akiwa njiani kutoka Dodoma kwenda Arusha kwa njia ya barabara ambapo ametoa onyo kwa wale wote wanaoficha sukari.