Madereva wa magari ya kukodishwa kwa mtandao Afrika Kusini wagoma

Your browser doesn’t support HTML5

Madereva wa magari ya kukodishwa kwa njia ya mtandao nchini Afrika Kusini wameandamana na wanataka serikali iwasaidie kuweka shinikizo kwa wamiliki wa uber, bolt na didi kuacha kuwanyanyasa.