Maafisa wa Marekani wanawasiwasi miji yao inaweza kuzidiwa na wahamiaji

Your browser doesn’t support HTML5

Sheria inaruhusu Marekani kuwarejesha wahamiaji Mexico au mataifa mengine kabla ya kupata nafasi ya kuomba hifadhi.

Wakati uamuzi wa mahakama ukisubiriwa maafisa wengine wanawasiwasi kuwa miji yao inaweza kuzidiwa iwapo wahamiaji zaidi watatokea. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyokuwa wakati wa sherehe za Krismas kwa wakimbizi ambao bado hatma yao haijajulikana...