Waasi wa M23 waondoka Goma

Wapiganaji wa M23 wakiupanda mlima uliyoko takriban kilomita 6 kutoka mji wa Goma, December 3, 2012.

Wanajeshi wa serikali FARDC wanawasili Goma, DRC, December 3, 2012.

wanajeshi wa serikali ya kongo FARDC, mjini Goma, DRC, December 3, 2012.

Polisi wa taifa wa Congo (PNC) wakusanyika tena kwenye uwanja wa mpira kupata amri kutoka makamanda wao, Goma, Congo, December 3, 2012.

Ratusan anak yatim piatu akibat genosida Rwanda pada 1994 masih hidup sulit di daerah kumuh Giporoso di Kigali, Rwanda, November 2013. Banyak yang menjadi pengedar narkoba atau pekerja seks untuk bertahan hidup. (VOA/Hamada Elrasam)

Wakazi wa Kongo walokoseshwa makazi wakisubiri ugavi wa chakula katikia kambi ya  Mugunga 3 nje kidogo ya mji wa mashariki wa Goma, December 2, 2012.