Polisi wa Cameroon wazuia maandamano ya Douala
Polisi wa Cameon wapiga doria katika barabara kuu ya mji wa Douala kuzuia mandamano siku ya jumamosi 21 octobre 2017.
Mmoja ya waandamanaji akilalamika mbele ya kamera wakati wa maandamano, le 21 octobre 2017.
Watu walojitokeza na mabango kwa ajili ya maandamano mjini Douala, 21 octobre 2017.
Mmoja ya waandamanaji akilalamika walipozuiliwa na polisi wa Douala le 21 octobre 2017.
Polisi wakisimama katika barabara kuu ya Douala kuzuia maandamano. Douala, 21 octobre 2017.