Wahamiaji

Wahamiaji wakijaribu kuvuka kuingia katika kisiwa cha ugiriki.

Wanaume , wanawake na watoto wakiwa wamekusanyika katika njia kuu iliyozuiwa na polisi huko uturuki septemba 19, 2015. 

wanajeshi wa slovenia wameweka uzio wa kutumia waya kwenye mpaka wa Gibina Novemba 11, 2015.

wahamiaji wamekenyika wakitaka kuingia Austria Novemba 3, mwaka 2015.

Maelfu ya wahamiaji wa Afghanistan wakiwa kwenye boti iliyojaa wakimbizi wakikaribia kuingia kwenye kisiwa cha ugiriki.

Wakimbizi na wahamaji wakiwa wamekusanyika katika kituo cha ukaguzi cha Russia

N/A

Mtoto akiwa analia wakati wahamiaji wakisafiri kwenda kisiwa cha ugiriki

Wahamiaji wakiwa kwenye mstari kusubiri ruhusa ya kuingia kutoka Ugiriki kuingia Macedonia

Mwanamke wa kisomalia akiwa ameshika mtoto wake wa kike

mtoto akiwa amefunikwa na plastiki wakati wa safari za wahamaji kwenye ugiriki

Eneo hili lenye taka liko katika mji wa Calais ufaransa

Mamia ya wakimbizi wanaishi katika kambi Ufaransa wakitegemea kuingia Uingereza

Mtumbwi uliobeba wakimbizi na wahamaji ukikatisha bahari ya Aegean Uturuki kwenda kisiwa cha uturuki

Chansela wa Ujerumani akiwasili kwenye mmkutano huko Malta

Rais wa NigerMahamadou Issoufou akiwasili katika mkutano Malta.

Wafuasi wa mrengo wa kulia AFD wakipinga kuhusu sera mpya ya wahamiaji Berlin

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron akiwasili katika mkutano huko Malta

Wahamiaji