Malalamiko na ghasia za Kiev, Ukraine
Mtu akibeba bendera ya Ukraine, huku moto ukiendelea kuwaka nyuma yake kutokana na ghasia zinazoendelea mjini Kiev
Waandamanaji wanakimbia kutokna gruneti zinazofyetuliwa wakati wa mapambano na polisi kati kati ya Kiev, Jan 22, 2014
Afisa wa polisi anampiga mwandamanaji wakati wa mapambano mjini Kiev
Polisi wa kupambana na ghasia wanamburura muandamanaji anaeunga mkono Umojan wa Ulaya
Waandamanaji wanaoiunga mkono Umoja wa Ulaya wsanapambana na polisi.
Waandamanaji wanaounga mkono Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaa wanajificha nyuma ya basi linalowaka moto
Waandamanaji watia moto magurudumu ya gari kuwazuia polisi kuwafikia kati kai ya Kiev