Kwa nini wanasiasa wahama vyama baada ya uchaguzi Kenya?

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi watoa tathmini yao juu ya wanasiasa waliohama vyama nchini Kenya mara baada ya uchaguzi. Ungana na mwandishi wa VOA Hubbah Abdi akiwa mitaani kukuletea maoni ya wananchi.