#voa400 : Jinsi biashara ya utumwa ilivyodhoofisha jamii za Kiafrika

Your browser doesn’t support HTML5

“Biashara hiyo ya utumwa ilidhoofisha jamii za Kiafrika. Ilikuwa haiwezekani wakati wa biashara ya utumwa na ukoloni kwa jamii za Kiafrika kuweka sawa mifumo yao ya kisiasa na ufanyaji kazi."
"Na wakati mwengine, watu wanajaribu kusahau sehemu hii ya historia ya nchi, na ndiyo sababu Makumbusho ya Utumwa imekuwepo.”