Sherehe za Kuapishwa rais mpya wa Somalia

Viongozi wa kigeni waklohudhuria shrehe za kuapishwa kwa rais Hassan Shiekh Mohamud wa Somalia

Rais wa Djibuti akihutubia kwenye sherehe hizo

Kiongozi wa Ethopia akizungumza kwenye sherehe

Ismail Omar Guelleh, rais wa Djibuti akihudhuria sherehe za kula kiapu rais Mohamud

Rais aneoondoka wa Somalia Sheikh Sharif Ahmed (kulia0, akisimama na rais mpya Mohamud wakati wa kupigwa nyimbo ya taifa.

Kiongozi mpya wa Ethopia na naibu waziri mkuu wa Uturuki

Hassan Shiekh Mohamud akitoa hotuba baada ya kula kiapu

Jean Ping