Kobe Bryant mwaka 1978 - 2020

Kobe Bryant akigombania mpira na Gary Payton

Mchezaji wa Los Angeles Lakers, Shaquille O'Neal, kati, na Kobe Bryant

Michael Jordan na  Kobe Bryant

Kocha mkuu wa timu ya Los Angeles Lakers Phil Jackson na Kobe Bryant

Rais Barack Obama na Kobe Bryant wakiwa na furaha wakati wa tafrija ya kuwapongeza washindi wa bingwa wa ligi ya mpira wa vikapu NBA wa mwaka 2009, Los Angeles Lakers.

Kobe Bryant akiwa na familia yake.

Kobe Bryant wakati wa mapumziko katika sherehe za kustaafisha jezi zake mbili za timu ya Lakers ya namba alizokuwa akichezea
Robert Hanashiro-USA TODAY Sports - 10486803

Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Kobe Inc Kobe Bryant.

Marehemu  Kobe Bryant alipokuwa akichezea timu ya mpira wa vikapu ya Los Angeles Lakers wakati wa michuano ya mchezo wa tano wa Timu ya NBA huko Los Angeles, Aprili 27, 2010.REUTERS/Lucy Nicholson (UNITED STATES - Tags: SPORT BASKETBALL

Kobe Bryant, ambaye ulimwenguni anajulikana kuwa mmoja wa wachezaji bora wa mpira wa kikapu, alikufa katika ajali ya helikopta Kusini mwa California Jumapili, akiwa na umri wa miaka 41.