Kiongozi wa mapinduzi mapya Burkina Faso asema aungwa mkono na wakuu wa jeshi

Your browser doesn’t support HTML5

Vyanzo vya kidiplomasia kikanda vimeeleza kiongozi wa mapinduzi Burkina Faso aliyechukua mamlaka mwezi Januari alikimbilia katika nchi ya Togo Jumapili kufuatia mapinduzi yasiyokuwa na utulivu Afrika Magharibi mwaka 2022.

Mwanajeshi mwenzake aliyempindua ametangaza kuungwa mkono na wakuu wa jeshi. Endelea kusikiliza nini anatakiwa kufanya...