Kim Jong Un ajitokeza hadharani baada ya wiki tatu

Watu wakiangalia televisheni inayoonyesha kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un akihudhuria Tafrija ya kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha Sunchon, katika stesheni ya reli huko Seoul Mei 2, 2020. Kiongozi huyo wa Korea amejitokeza tena kwa mara ya kwanza baada ya wiki tatu, vyombo vya habari vimeripoti Mei 2, baada ya uvumi mkubwa kura Kim alikuwa mgonjwa sana au kunauwezekano kuwa amekufa.(Photo by Jung Yeon-je / AFP)
 

Watu wakishuhudia kupitia televisheni ya Taifa ya Korea Kaskazini kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un, akiwasili katika stesheni ya reli huko Seoul on April 21, 2020. - Korea Kusini ilikanusha repoti za mwezi Aprili 21 kuwa Kim Jong Un alikuwa anafanyiwa upasuaji, baada ya kukosekana katika maadhimisho ya kila mwaka muhimu ya nchi hiyo.(Photo by Jung Yeon-je / AFP)

Kim Jung Un akihudhuria sherehe za mwaka unaofuata kalenda ya mwezi ya Januari 2020, mjini Pyongyang, Korea Kaskazini.

Watu wakiangalia televisheni inayoonyesha kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un akihudhuria Tafrija ya kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha Sunchon, katika stesheni ya reli huko Seoul Mei 2, 2020.