San Francisco : Kibao cha msanii Erica, Chereko, chavuma

Your browser doesn’t support HTML5

Msanii Erica Lulakwa mwenye asili ya Tanzania na mwanadiaspora, mkazi wa San Francisco, awashangaza mashabiki wake kwa kibao chake kipya cha Chereko.